3 Bedrooms House for sale at Kerege, Pwani


HAYA BEI IMEVUNJWAA,,,,, WAHI TUWAHIII
ENEO KUBWA SANA LINA NYUMBA UNFINISHED LINAUZWA NA BANK BEI YA KUTUPA
ENEO LINA MITI YA MIEMBE NA MITIKI,
LIPO KEREGE BAGAMOYO PWANI.
NI UMBALI WA KILOMITA 3.9 TOKA BAGAMOYO ROAD.
MITI YA MIEMBE IKO 150 NA MITIKI IKO 600
UKUBWA WA ENEO :SQM 10835 (EKARI TATU KASORO)
PRICE : KUTOKA MIL 95 SASA NI MIL 80 TU CHAP CHAP
UMILIKI:MKATABA WA MAUZIANO
SIFA ZA NYUMBA ILIYOPO
-VYUMBA VITATU VYA KULALA, 1 NI MASTER
-SEBULE
-DINNING
-JIKO NA STOO YAKE
-CHOO CHA PUBLIC
HUDUMA ZOTE ZIPO... GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELF 30. HII HAIHUSISHI USAFIRI
TUPIGIE +255-658-582-977
KUJIUNGA NA GROUP LETU LA WHATSAP BONYEZA HAPA π https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq
everyone
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#regrann #nyumbazakisasa #realestateagent #nyumbanzuri #auction #dalaliwanyumba #viwanja #mashamba #plot #kiwanja #realestatebroker #nyumbanafuu #nyumbayakupanga #nyumbayangu #nyumbadareslaam #farm #maishaninyumba
#daressalaam #farming #mwanza #kilimanjaro #nyumba #magari #tanzania #biashara #bongo #kariakoo #business #home #houseforsale