3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


🏡 NYUMBA MPYA YA KISASA INAUZWA – KIGAMBONI KISARAWE II 🌴
✨ Nyumba nzuri ya kisasa, mpya kabisa na ipo tayari kwa makazi! Imezungushiwa fensi, geti lipo, mazingira safi na tulivu karibu na huduma zote muhimu ✅
🏠 Maelezo Muhimu:
✅ Vyumba 3 vya kulala (🛏️ viwili ni Master Bedrooms)
✅ Sebule kubwa yenye nafasi 🛋️
✅ Dining na jiko pana 🍽️🔥
✅ Store ipo 📦
✅ Fenced & gated 🚪
✅ Sewage system safi 🚰
✅ Eneo limepimwa 📏 (ukubwa sqm 663)
✅ Lina hati safi ya Wizara 📜
✅ Karibu na shule kubwa ya Monte Carlo 🏫
✅ Unaweza kuhamia mara moja au kumalizia vitu vidogo 🧰
💰 BEI: TZS Milioni 55 tu 💵
📍 Mahali: Kigamboni – Kisarawe II
📞 Call / WhatsApp: 0746 433 854
💸 Service charge: 30,000 TZS
🔖