3 Bedrooms House for sale at Kinyerezi, Dar Es Salaam







NYUMBA KALI YAKUHAMIA, TSHS.95 MILIONI,KINYEREZI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 450.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ipo umbali wa kilomita 1.5 kutoka Barabara ya Lami.
Vyumba 3 ( Masta 1)
Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Pia Ina Servant's Quarter ya vyumba 2 (Kighorofa)
Nyumba ina ACs, Electric Fence na Parking ina Paving.
__________
ANGALIZO
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
__________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.