3 Bedrooms House for sale at Kivule, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE VYUMBA 3,TSHS.45 MILIONI, KIVULE, FREMU KUMI(Hospitali)
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 380.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba ina Vyumba 3 (Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Vilevile kuna Banda lenye Chumba kikoja pembeni.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548.
______________mskv