3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam





Nyumba mpya nzuri sana ya kisasa inauzwa:
Ni ya kumalizia ukarabati 
Room 3 moja self 
Dining, sitting room, jiko, stoo na public toilet 
Eneo-sqm 800
Umiliki-mauziano serikali za mtaa 
Bei-ml 60 maongezi 
Location- madale mbopo upande ambao sio wa DDC 
Umbali-km 3.5 kutoka main road madale mwisho 
Na mita 300 kutoka barabara kubwa ya mbopo inayowekwa lami



















