3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam






BEI MILIONI 37
MAONGEZI YAPO
NYUMBA INAUZWA IPO MBEZI KWA MSUGURI
UMBALI WA KUTOKA
KILOMITA 2 HADI SAYITI
USAFIRI BAJAJI 700
BODA 1000
SIFA YA NYUMBA
INAVYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTA SEBULE CHOO CHA PABILIKI
JIKO
UKUBWA WA ENEO
SM 350
HUDUMA ZA KIJAMII KAMA MAJI UMEME VYOTE
VIMEFIKA
NYUMBA INA UMEME TAYARI
IPO NDANI YA FENSI
KUPELEKWA KUONA ELFU 25000
BARABARA INAFIKA VIZURI
PGA CM
0789352273
0716171830