3 Bedrooms House for sale at Tabata, Dar Es Salaam


Ni jambo jema kuwekeza lakini sio tu kuwekeza Bali kuwekeza mahala sahihi!
Leo nakuletea nyumba inauzwa Tabata Magengeni.
Location nzuri sana na fursa kubwa hii!!!
Ukubwa: Sqm 400
Bei: Mil 45
- Nyumba ina vyumba vitatu
- Panafikika bila shida
- Huduma zote za kijamii zipo
Unaweza nunua na kukarabati ukaushi mwenyewe.
Unaweza nunua na kupangisha kwanzia 700,000/=.
Muhitaji piga ๐ 0688 412 890