3 Bedrooms House for sale at Tangazo, Mtwara


TANGAZO LA NYUMBA INAUZWA
Mahali: Tabata Segerea, Viwanja vya Benki 
Bei: TZS 60,000,000 (Super Offer) 
Ukubwa: 350 sqm 
Maelezo ya Nyumba: 
- Ipo ndani ya uzio (fence) 
- Paving na parking zipo 
- Umeme na maji yanapatikana 
- Water reserve tank 
- Gari inafika 
- Vyumba 3 (1 master bedroom), sebule, jiko, public toilet 
- Madirisha ya aluminium, tiles, gypsum 
Nyaraka: Sales Agreement 
Malipo ya Dalali: 10% ya bei ya mauziano 
Faida: Unaweza kuishi mwenyewe au kuipangisha kama fursa ya Biashara 
Mawasiliano: 0688 412 890


















