3 Bedrooms House for sale at Ukonga, Dar Es Salaam






NYUMBA YENYE VYUMBA VITATU (3) TSHS.36 MILIONI, BOMBA MBILI, UKONGA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.300.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 3 ( Masta 1) Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Ina Tiles na Gypsum.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.