2 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam


π APARTMENT YA VYUMBA 2 (ZOTE MASTER) β NDANI YA FENSI π
π Location: Bunju βBβ
π‘ Muundo:
β’ Vyumba 2 vya kulala (Master zote)
β’ Sebule ποΈ
β’ Jikoni π½οΈ
β’ Choo cha Public π½
β’ Full AC βοΈ
β’ Vitu vya ndani vipo (ukipenda unaweza kuvitumia) ποΈποΈ
π§ Maji: DAWASCO (mnashare wawili)
β‘ Umeme: Luku (unajitegemea)
π° Kodi: 300,000/= kwa mwezi (Malipo kuanzia miezi 4)
π§Ύ Service Charge: 20,000/=
π² Mawasiliano: 0687 800 788 / 0713 958 395