2 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA GOBA CENTRE KM1 KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Full air condition
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service Charge 20,000/=
Kodi 700,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 7
----------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#DALALI_BIG_GOBA_MBEZI_BEACH 🇹🇿