2 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA ZINA PANGISHWA GOBA MNADANI SIMBA OIL
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa.
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Full air condition
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 20,000/=
Kodi 750,000/=×6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni 7.5
----------
Contract
#0676_218580 (WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach 🇹🇿