2 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA GOBA NJIA PANDA YA KINZUDI DK3 KUTOKA LAMI
--------
Vyumba 2 vya kulala hakuna master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 20,000/=
Kodi 500,000/=×6
------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
------------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach🇹🇿