2 Bedrooms House for Rent at Iyumbu, Dodoma


NYUMBA ZINAUZWA IYUMBA DODOMA
*Mwenyewe ana shida ya pesa, anauza bei ya kutupa*
*Zipo Iyumbu Mjini*
Ndani zina wapangaji…. Zipo nyumba nne
Kila nyumba ina vitu vifuatavyo
1. 2 Bed rooms zote ni master bed rooms
2. Sebule
3. jiko
4. umeme unajitegemea
5. ndani ya fence
6. maji yapo all the time meter ni prepaid.
7. umbali wa barabara ni meter 50 kuingia lami ya iyumbu njia ya kwenda UDOM au Benjamin Hospital i mean zinaonekana ukiwa lami
8. *ukubwa wa eneo ni SQM 903.*
9. Ndani zipo nne na zote zina wapangaji wanalipa 300k per month inamaana unanunua apartments na unaendelea kula kodi mdogo mdogo.
*Bei ni Tsh 198m/-
*,Location Dodoma Iyumba.
Simu:0621488071