2 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







(200,000 × 6) 𝗞𝗜𝗕𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗦𝗛𝗨𝗟𝗘 𝗛𝗢𝗡𝗗𝗢𝗚𝗢
#APARTMENT_FOR_RENT_AT_KIBAMBA SHULE HONDOGO
📌VYUMBA VIWILI VYA KULALA
📌CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
📌SEBULE KUBWA
📌JIKO NZURI KUBWA
📌CHOO CHA FAMILIA
📌UMEME LUKU YAKO
📌MAJI YANAFLOW NDANI
KODI NI TZS 200,000/= × 6
NYUMBA IPO KIBAMBA SHULE HONDOGO
UMBALI WA KILOMETA 3 KUTOKA MOROGORO ROAD NDUGU MTEJA
𝗨𝗦𝗔𝗙𝗜𝗥𝗜 𝗨𝗣𝗢 𝗠𝗪𝗜𝗡𝗚𝗜
NYUMBA ITAKUWA WAZI MWISHONI MWA MWEZI HUU WA PILI YAANI TAREHE 28.2.2025 KWA SASA KUONA NDANI NI CHANGAMOTO
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI NA PARKING KUBWA YA KUTOSHA KABISA
NA HAPA APARTMENT ZIPO MBILI TU NDANI YA FENSI TU
SERVICE CHARGE NI TZS 20,000/=
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300