2 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







0679 997610
#STAND ALONE HOUSE/NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA KIBAMBA GOGONI
Vyumba 2 vya kulala vyote master bedrooms sebule jiko na public toilet
Kodi 400,000 kwa mwezi ×3
Ipo kwenye fence peke yake kwahiyo Inajitegemea kila kitu
Umbali km 1 usafiri boda boda 1000
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 15,000 kuona nyumba
Mawasiliano
Wsp
0679 997610