2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam


APARTMENT VYUMBA 2,TSHS.550,000/MWEZI,KISOTA-KIGAMBONI.
Ni nyumba ya Ghorofa,
Ipo umbali wa kilomita 6 kutoka Ferry,
KIGAMBONI.
Sakafu ya Pili.
Vyumba 2 (Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko na Choo cha Familia ndani.
LUKU ya kujitegemea,
Msji ya Uhakika na Parking ipo.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Kuona ni Tshs 30,000.
(Unalipa wewe MPANGAJI )
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_____________dJzn