2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kibada
<> nyumba ina vyumba viwili vyote Master sebule na jiko mpya
✅nyumba iko fenced
✅nyumba ina parking
✅nyumba ina electric ⚡️
✅nyumba iko barabarani
✅nyumba mpya na safi
✅nyumba ni apartment 4
<> asking price tsh,, 500k per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
<> services charge 20k zingatia utalatibu
◾️mawasiliano/piga simu
✅0628505896
✅0763954837


















