2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPOUND MOJA KATI IZO MOJA YA CHINI IPO WAZI
(400,000 × 6) KIMARA KOROGWE
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
#SEBULE
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI
#PUBLIC TOILET YA NJE
#LUKU NA MITER YA MAJI INAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#MAZINGIRA MAZURI GARDEN NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300