2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT NZURI KUBWA SANA YA KIFAMILIA INA PANGISHWA
LOCATION: #KIMARA_SUKA
#KODI 250000X6 LAKI MBILI NA NUSU KODI MIEZI 6
#VYUMBA VIWILI VIKUBWA SANA VYA KULALA
#KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA MNO
#PUBLIC TOILET YA NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#MAJI MITA YAKO
#UMBALI KM 1.5
#USAFILI BODA 1000
#IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
#KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
#NA BILA KUSAHAU PESA YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA CM
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-494343
0765-494343