2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM 1 KUTOKA LAMI BODA BUKU TUU.
------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000X6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
---------
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747