2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(400,000X6)KIMARA TEMBONI 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BODA ELF MOJA MPAKA NYUMBANI, NJIA NZURI KABISA(STANDALONE)
➖➖➖➖➖➖
SIFA ZA NYUMBA
INAJITEGEMEA KWENYE FENCE(STANDALONE)
VYUMBA VIWILI VIKUBWA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET NDANI
➖➖➖➖➖➖
HUDUMA
LUKU YAKO
METRE YA MAJI YAKO
MAJI YANATOKA NDANI
WATER STORAGE TANKS
PARKING SPACE KUBWA
NJIA NZURI MPAKA SITE
➖➖➖➖➖➖
NB: UKILIPIA NYUMBA INAFANYIWA UKARABATI MZURI SANAA
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343