2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


:
𝙉𝙔𝙐𝙈𝘽𝘼 𝙉𝙕𝙐𝙍𝙄 𝙔𝘼 𝙆𝙐𝙋𝘼𝙉𝙂𝘼 #𝙎𝙏𝘼𝙉𝘿_𝘼𝙇𝙊𝙉𝙀
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA MWISHO
Umbali wa Kilomita 2 Kutoka Main Road, Usafiri Bajaj 700
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• SEBULE KUBWA
• VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA KIMOJA WAPO MASTER
• JIKO KUBWA
• PUBLIC TOILET
Nyumba inajitegemea yenyewe Ndani ya Fensi Umeme LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 270,000 Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞 𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp