2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


500.000/=ร6. KIMARA SUKA DAKIKA 8 KWA MIGUU
APARTMENT KALI NZURI SANA INA PANGISHWA
KODI 500,000 X MIEZI 6 KIMARA SUKA IPO
INA VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
KIMOJA MASTER ILA KUNA PUBLIC TOILET YA NDANI
JIKO KUBWA SANA
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA TILILIKA NDANI
====
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
=====
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
=======
SERVICE CHARGE NI TZS.20k
=====
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
Piga cm O677370515