2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE DK3 KUTOKA LAMI
-----
Vyumba 2 vya kulala
Seble kubwa
Jiko
Public toilet na master kuna milango 2
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000X6
-------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
--------
0677445508
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏