2 Bedrooms House for Rent at Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA KUBWA NZURI INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI 300,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/11/2025 KUONA NDANI RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 TUU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PAVING
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 300,000/= X 6
🇹🇿 NYUMBA HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI NZURI HADI KWENYE NYUMBA
💥PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NA UKAFIKA VIZURI SANA HADI KWENYE NYUMBA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20,000 KWENDA KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347


















