2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI MWISHO KM1 LAMI
INAKUWA WAZI TAR 30.08.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000X6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
---------
Contact
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA π
0713661530_0783661530