2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT NI MPYA KABISA ZIKO NYUMBA TANO KWENYE COMPAUND MOJA KATI SOMA MAELEZO KWA UMAKINI KILA NYUMBA INA BEI YAKE
(1) SEBULE KUBWA
VYUMBA 2 VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER
JIKO KUBWA LENYE KABATI
CHOO KIZURI CHA WAGENI
LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
(2) MASTER BERD ROOM NA JIKO LAKE
LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
BEI NI 100,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
(3) SEBULE KUBWA
CHUMBA MASTER
JIKO KUBWA LENYE KABATI
NA STORE
LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA NDANI
BEI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
(4) SEBULE WASTANI
CHUMBA MASTER
JIKO ZURI
BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LOCATION MBEZI LUGURUNI KLM 1.8 KUTOKA MAIN ROAD BODA BUKU TU MPAKA GETINI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
SIMU 0659336751 WSP 0786085637