2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT 2 NDANI YA FENCE PARKING ZINA PANGISHWA NA HII MOJA NDIYO IPO WAZI MBEZI BEACH
---------
Vyumba 2 vya kulala master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 20,000/=
Kodi 1,200,000/=ร6
------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni milioni 1.2
-------------
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693_673010
#Dalali_big_goba_mbezi_beach ๐น๐ฟ