2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







JUMBA KUBWA LA KISASA LENYE HATI MILIKI LINAPATIKANA MBEZI KWA MSUGURI
🏠 BEI: TSH 360,000,000/= (MAONGEZI KIDOGO)
📜 INA HATI MILIKI HALALI
📍 MAHALI: MBEZI KWA MSUGURI – UPANDE WA KUSHOTO UKITOKA MOROGORO ROAD (KM 1 TU, BODABODA ELFU 1/= TU)
---
💎 MAELEZO YA NYUMBA:
✅ Vyumba 6 vya kulala (vyumba 2 ni Master Bedrooms kubwa zenye choo ndani)
✅ Sebule kubwa ya kisasa
✅ Dining Room nzuri yenye nafasi ya familia kubwa
✅ Jiko kubwa la kisasa lenye kabati
✅ Vyoo vya umma (Public Toilets) viwili – kimoja juu na kimoja chini
✅ Store mbili (2)
✅ Makabati ya nguo katika vyumba
✅ Eneo lote lina ukubwa wa 1000 sqm
✅ Nyumba ina mpangaji anayelipa 800,000/= kwa mwezi
---
💥 FAIDA ZA NYUMBA HII:
🏡 Nyumba kubwa, safi, na imara – ipo tayari kwa makazi au uwekezaji
💧 Umeme na maji yapo
🧾 Hati miliki ipo – salama kisheria
💰 Inafaa kwa kuishi au kuwekeza kama nyumba ya kupangisha
---
👁️ KUONYESHWA NYUMBA:
Ada ya kuonyeshwa ni 30,000/= tu
📞 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi au ratiba ya kuona nyumba:
📲 0627 977 383
---