2 Bedrooms House for Rent at Sakina, Arusha


INAPANGISHWA SAKINA ARUSHA
NI NYUMBA YENYE ROOM MBILI ZA KULALA MOJA MASTER
INA MAKABATI CHUMBANI
INA JIKO LENYE MAKABATI
INA SEBULE.
INA PUBLIC TOILET
INA PARKING
UMEME UNAJITEGEMEA
IPO MITA 150 KUTOKA LAMI
BEI 400,000/= KWA MWEZ
CALL 0758105801/0693412119