2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Stendi Ya Bonyokwa.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule kubwa
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Maji 24/7
- Water reserve tank
- A/C
- Dakika 5 kutoka kituoni
Kodi 400,000/= MIEZI SITA.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.