2 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







House for Office for Rent. Nyumba inapangishwa Kwa Ajili ya Office NK
Location Ubungo Riverside
Kodi 2500000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 30 Kuona Nyumba
Nyumba hii Ina Room 6
Pamoja na Savernt Coter ya Room 2
Vyooo ndani na Nje
Parking space Kubwa sana
Maji Dawasa
Umeme wa Three Phase
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565



















