2 Bedrooms House for sale at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa Ipo kinyerezi kwa makofia
(NYUMBA INA HATI MILIKI)
📌BEI MILION 50 MAONGEZI YAPO
Ipo karb sana na barabara
Jumla ya Vyumba vyote ni 6 kimoja masta
Dining siting jiko
(Nje kuna vyumba viwili)
👉Eneo sqm 500
Whatsap au piga #0657907091
Kupelekwa 20k