2 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam







BEI MILIONI 23
MAONGEZI YAPO
_______
NYUMBA INAUZWA IPO NZURI SANA IPO MBEZI KWA MSUGURI
_______
KUTOKA BARABARANI KILOMITA 3 HADI KWENYE NYUMBA
_____
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA BODA 1500
_____
SIFA YA NYUMBA IPO KWENYE FENSI
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTA
SEBULE NJE KUNA MASTA PIA MOJA
NA JIKO
_______
MAJI UMEME VYOTE VIPO
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO
______
KUPELEKWA KUONA 25000
Call 0746 433 854