2 Bedrooms House for sale at Ubungo, Dar Es Salaam


*NYUMBA INAUZWA – UBUNGO, NATIONAL HOUSING*
Nyumba nzuri inauzwa eneo salama na tulivu la Ubungo - Mtaa wa National Housing, karibu kabisa na mjini.
Sifa za Nyumba:
Vyumba 2 vya kulala (kimoja ni Master)
Nyumba ipo kwenye mazingira mazuri na salama
Miundombinu ya maji na umeme iko vizuri
Bei: TSh 150 Milioni (maongezi yapo)
Wasiliana:
Simu/WhatsApp: 0742 892 195
Usikose nafasi hii ya kumiliki nyumba kwenye eneo lenye thamani kubwa na urahisi wa kufika katikati ya jiji!