House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







BEI:120,000 Kwa mwezi × 6. 0679 956 863 ♥️
===
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
====
Chumba cha kulala kikubwa
Sebule kubwa
Choo ndani
Jiko kubwa
=====
Bei:120,000 Kwa mwezi × 6
==
Umeme inajitegemea maji yanaflow chooni na jikon
===
Umbali KM 2 BAJAJI ZIPO
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
0679 956 863
0759151524
0781 418 437