House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA YA KISASA
NDANI YA FENCE
MASTER BEDROOM KUBWA & KITCHEN
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
π₯ *KODI YAKE 170K X3//*
#MASTER BEDROOM KUBWA ''SINGLE''
##JIKO SAFI ( OPEN KITCHEN)
#TILES
#GIPSUM
#ALMINIUM
#UMEME WAKE SUBMETER
#METER YAKE YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
ποΈAPARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000/=
0713320608
0686334182



















