House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA
KODI 280,000 × 4
✔️SEBULE KUBWA
✔️JIKO KUBWA
✔️CHOO KIZURI CHA NDANI (PUBLIC TOILET)
✔️LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
✔️PARKING KUBWA SANA 🚗
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) KODI YA MWEZI MMOJA 280K
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA KIMARA STOP OVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA YA KUELEKEA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 20 TUU KWA MIGUU
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp