House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

NDUGU ZANGU HII APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA
__________________________________________________________________
🌟 INA SIFA ZIFUATAZO
CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SEBULE KUBWA JIKO KUBWA PUBLIC TOILET NDANI
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
__________________________________________________________________
FULL TAILS GYPSUM WINDOS SLIDING MAJI YA DAWASCO YAPO MASAA 24 YANATOKA NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENCE PEVING BLOCKS PARKING SPACE IPO KUBWA GARDEN NZURI SANA USALAMA UPO WAKUTOSHA
__________________________________________________________________
BEI TSH {250,000}=>KWA MWEZI MOJA MALIPO MIEZI (6) BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 2 TUU (200,000/= ) GHARAMA YA KWENDA KUONA NYUMBA TSH 15000 UKIWA TAYALI KULIPIA NYUMBA HELA YA MWEZI MOJA YA DALALI CHARLE KIMARA
__________________________________________________________________
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
__________________________________________________________________
NICHEK -
What SaAp -----------
KARIBUNI KIMARA YA MWENDOKASI