House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







‼️ANATAKIWA MPANGAJI ASIYE NA FAMILIA AU MUME NA MKE TU‼️
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KODI TSH 150,000X6
MAHALI ILIPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 7 KWA MGUU
NI CHUMBA NA SEBULE CHOO CHA NJE CHAKO MWENYEWE
MADIRISHA SLYD WINDOWS,FENI
NDANI FENSI USALAMA WAKUTOSHA
UMEME MITA YAKO MWENYEWE
WAHI CHAPU 🏃♂️🔥🛺🚐 NYUMBA ZA KARIBU HAZIKAI
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 👈
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1 👈
0715949085
0782838336