House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







๐ MPYAAA MPYAAA MPYAAA
APARTMENT NZURI SANA ZINAPANGISHWA
UMEME KILA MTU NA SUBMETER YAKE NA MAJI YANAFLOO NDANI
NDANI YA FENSI PAKING SPACE KUBWA IPO
SIFA ZAKE;
CHUMBA KIKUBWA MASTER
JIKO
๐ฃLOCATION:KIMARA TEMBONI
USAFIRI BAJAJI 1000
๐ฐBEI;LAKI 1 X MIEZI 6
SERVICES CHARGE ELFU 15,000