House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI KODI 300,000X6 
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI DAKIKA 5 KUTEMBEA 
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
SIFA ZAKE 
____________
#SEBULE KUBWA 
#CHUMBA MASTER
#JIKO ZURI LENYE KABATI
#MAFENI KOTE
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO 
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA SAFI KABISA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347




















