House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MPYA MPYA MPYA KABISA
APARTMENT KIMARA BUCHA INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA BUCHA Dk 10 TOKA MAIN ROAD. BODA 1000
KODI NI 170,000×6
CHUMBA KUBWA, SEBULE KUBWA, CHOO CHAKO CHA NNJE KWENYE KORDO HAUTOKI NNJE
UMEME LUKU SHARA W2
MAJI DAWASCO YANATOKA NDAN.
ZIPO APARTMENT 4
KARIBUNI



















