House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
#BEI NI 250,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/08/2025
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE
#JIKO
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#PAVING
BEI NI 250,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU AU UNAWEZA KUPITIA KWA MSUGURI UPANDE HUO HUO NI DK 5 TUU KWA MIGUU HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-09247
0683-387747