House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA KODI 500,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA TU UMEFIKA NYUMBANI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA 3 KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#PAKING SPACE KUBWA ZIPO APARTMENT 4
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347