House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA MPYAA
USALAMA 💯%
MASTER BEDROOM ''SINGLE''
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥 *KODI YAKE 100K X6//*
*ILIPWE LAKI MOJA KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI SITA.*
#MASTER BEDROOM 'SINGLE''
#TILES
#GIPSUM
#ALMINIUM
#UMEME SUBMITER YAKE
#MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
🏘️APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000/=
*❌HIZI APARTMENT'S MPYA ZIPO MAZINGIRA MAZURI SANA JAPO KUWA HAZIPO KWENYE FENCE❌*
🏘️🇹🇿KARIBUNI SAANA.