House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA (STUDIO APARTMENT) INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
๐ APPOINTMENT HII YA KIBACHELA INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#AIR-CONDITION
#HEATER
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#GARDEN
โ HAKUNA SEBULE HAPA
โHAKUNA JIKO HAPA
BEI NI 250,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
๐ฅNJIA YA GARI NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
===
CALL
0683234124