House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 350,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/09/2024 AU MAPEMA ZIADI YA HAPO

🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#PUBLIC TOILET
#KUNA SEHEMU AMBAYO UNAWEZA KUFANYA CHUMBA CHA KULALA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA

#FENSI IMEZUNGUSHIWA WAYA WA UMEME (ULINZI NI WA UHAKIKA NDUGU MTEJA)
#PARKING

BEI NI 350,000/= X 6

💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU USAFIRI NI BAJAJI SH 50O NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

💥 APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/09/2024 AU MAPEMA ZIADI YA HAPO NA KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

======

CALL

0683234124

0718367179

Dalali mbezi kibamba
dalali_mbezi_kibamba
Dalali mbezi kibamba

Similar items by location

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA MPYA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6💥NYUMBA ...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA MPYA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6💥NYUMBA ...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT 4 NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM1.5 KUTOKA LAMI ------Vyumba 2 vya k...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA MPYA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6💥NYUMBA ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Apartment house for Rent za Kisasa nzuri Mpyaa Hapa zipo Nyumba 2 Tofauti A na B Location Kimara Buc...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA MPYA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6💥NYUMBA ...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/09/2025#SEBULE KUBWA#CHUMBA KIK...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 6 TUU🌟 A...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

#0742260844_#0657484670.APARTMENT NZURI SANA INA PANGISHWA 400K LOCATION: kIMARA STOP OVER UMBALI DA...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

#0742260844 #0657484670.NYUMBA MPYA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA KODI ...

Plots for sale at Kimara, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 25,000,000

BEI MILIONI 25. 0655256419VIWANJA VINAUZWA MAENEO VILIPO KIMARA MWISHO BEI MILIONI 25VIWANJA VINAUZW...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT KALI SANA INA PANGISHWA KIMARA SUKA DAKIKA 15 KWA MGUUKODI 250,000X6 VYUMBA VIWILI KIMOJ...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

MASTER BEDROOM NA JIKO LAKE INAPANGISHWA KIMARA SUKA KODI NI 100,000X6Chumba cha kulalaChoo ndaniJik...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA MPYA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6💥NYUMBA ...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

STAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA KODI 550,000X6LOCATION: KIMARA SUKA VYUMBA VITATU V...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA MPYA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6💥NYUMBA ...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA 200K X 6🇹🇿 KUHUSU MAONGEZI YA MALIPO YAPO YANA...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

STAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA KODI 550,000X6LOCATION: KIMARA SUKA VYUMBA VITATU V...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 230,000

NIMEISHUSHA BEI NIMEISHUSHA BEI KODI 230,000 X 4,5,6 APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA LOCATION:KWA M...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

NYUMBA MPYA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6💥NYUMBA ...