House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(270,000 × 3) KIMARA STOP OVER
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 270k × 3
: Dakika 6 - 7 kwa Mguu kutoka Main Road
============
• Chumba Kikubwa cha Kulala Kikubwa
• Sebule kubwa
• Jiko Kubwa
• Choo Kizuri Ndani
Apartment ipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani
Tsh. 270,000 Malipo Miezi 3
Survey Charge ni 15,000 tu
Na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba
Contact:
0654101710
0787205300



















